BWANA NDIYE

Romantic soul worship gospel, saxophone, Powerful Female Vocalist

April 20th, 2024suno

가사

(Intro) [Saxophone Intro], Bop-bop-a-doo-wah, Bad-baduh-ba-do-doo-wah X2 [Short Saxophone Interlude], (Verse) Bwana ni mchungaji wangu, Kamwe sito-pungukiwa na kituu - (UhH, uHh), Kamweee, Nasema kamwe, sito pungukiwa na kitu - (uHh-uHh), [Short Saxophone Interlude], Katika malisho, Ya majani mabichi - tena mateke, Ndiko ambako hunilaza, - (No stress), [Short Saxophone Interlude], Hata nipatapo KIU, Penye maji tulivu, Pale penye maji tulivu ndiko-huniongoza, (OhH-Bwana ndiye), Bwana ndiye-Mchungaji wanguuu! - (YeaH!). [Short Saxophone Interlude], (Chorus) Bwana ndiye, Mchungaji wa-angu!, (Bwana ndiye), Bwana ndiye, Chakula cha-angu cha ROHO, (Bwana ndiye), Bwana ndiye, Maji yangu ya Mwili,Nafsi na Roho, (Ohh-Bwana ndiye, OhH Bwana Ndiye) X2 Bop-bop-a-doo-wah, Bad-baduh-ba-do-doo-wah X2 [Short Saxophone Interlude], Hunihuisha, Hunihusisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake - (Jina Lake!). Jina lake ndilo hilo naye ndiye huyo kwangu, (Bwana ndiye) - Mchungaji wangu - Kamwe sito-pungukiwa na kituu (uHh-uHh), Naam, Naam, Naam, Ni-Ni-Ni-nijapopita - (AhH-AhH), Ninapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa, Sita-Ogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami - (Pamoja nami), Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. (Ohh-),(Bwana ndiye x3) [Short Saxophone Interlude] (Chorus) Bwana ndiye, Mchungaji wa-angu!, (Bwana ndiye), Bwana ndiye, Chakula cha-angu cha ROHO, (Bwana ndiye), Bwana ndiye, Maji yangu ya Mwili,Nafsi na Roho, (Ohh-Bwana ndiye, OhH Bwana Ndiye) X2 Bop-bop-a-doo-wah, Bad-baduh-ba-do-doo-wah X2 [Break] [grand finale saxophone] (verse) Hunihuisha, Hunihusisha nafsi yangu na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake - (Jina Lake!). YESHUA, Jina lake ndilo hilo naye ndiye huyo kwangu, (Bwana ndiye) - Mchungaji wangu - Kamwe sito-pungukiwa na kituu (uHh-uHh), Naam, Naam, Ni-Ni-Ni-nijapopita - (AhH-AhH), Na Ninapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, (AhH-AhH), Sitaogopa, Sita-Ogopa mabaya; Kwa maana Wewe, (YAHWEH) upo pamoja nami - (Pamoja nami), Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. (Ohh-),(Bwana ndiye x3) [Short Saxophone Interlude] (Chorus) Bwana ndiye, Mchungaji wa-angu!, (Bwana ndiye), Bwana ndiye, Chakula cha-angu cha ROHO, (Bwana ndiye), Bwana ndiye, Maji yangu ya Mwili,Nafsi na Roho, (Ohh-Bwana ndiye, OhH Bwana Ndiye) X2 Bop-bop-a-doo-wah X2 [Break] [grand finale saxophone] (Chorus) Bwana ndiye, Mchungaji wa-angu!, (Bwana ndiye), Bwana ndiye, Chakula cha-angu cha ROHO, (Bwana ndiye), Bwana ndiye, Maji yangu ya Mwili,Nafsi na Roho, (Ohh-Bwana ndiye, OhH Bwana Ndiye) X2 Bop-bop-a-doo-wah X2 [Break] [grand finale saxophone]

추천

Fantasia
Fantasia

progressive metal, mathcore, progressive metalcore, djent, jazz fusion

DeLora X Power (8-Bit Version with AI)
DeLora X Power (8-Bit Version with AI)

8-Bit, Retro, Video Games, and Soundtrack

Life's Journey
Life's Journey

rhythmic house music neo soul afrobeat acoustic

Echoes of the Silk Road
Echoes of the Silk Road

instrumental traditional chinese

random things that match
random things that match

piano, dubstep, synthwave, electro, pop, rap

Sangoma Beat
Sangoma Beat

funk,r&b,rhythmic,psychedelic,psychedelic soul,psychedelia,funk rock,psychedelic rock

Less Is More
Less Is More

Math Rock, Funky, Bass Guitar, [Synth], Light drums, Game, Fighting Game, Action, [No Lyrics], Anime, [Lofi]

In Between the Lines
In Between the Lines

indie rock alternative

Neon Love
Neon Love

bossa nova bittersweet nostalgic citypop

Aerien, City of Air
Aerien, City of Air

triumphant and bombastic, heroic fanfare, horn trumpet

The New Sound (1920s Swing Blues Instrumental)
The New Sound (1920s Swing Blues Instrumental)

1920s Swing Blues Rock, Fun and Jumpy, jazz, upbeat, pop, dance

52
52

Rapid-fire rap, 210 bpm, deep bass beats, minor key, high tension, no vocals

experimental future bass
experimental future bass

trip-hop metal fusion with fractal beats

New World
New World

Female voice kpop rap hot power

Gépészek dalolnak
Gépészek dalolnak

erőteljes energikus rock