Hautaniweza wee!

female voice, swahili taarab with flair, contemporary taarab, groovy bass, kenyan coastal style and accent

July 21st, 2024suno

Lyrics

[Hype Shout Out] Monkey Jams! [Hype Taarab Intro] (Halo - Halooooh! Ulinifanyia dharau na wale vibaraka sasa nyumba hiiiih! uione paah!) [Verse] Hauniwezi wee sura ya pweza Tangu nikuache sijakupeza Wafate wale waliokupoteza Maana mie nakubeza [Verse 2] Moyo wangu sio chenza Sitaki zako bembeleza Sina muda wa kupoteza Sina hali ya kucheza [Chorus] Uliowamumunya sasa meza Ladha ya chumvi imekoleza La maisha ninasongeza Nishampata anayenipenza Uliowamumunya sasa meza Ladha ya chumvi imekoleza La maisha ninasongeza Nishampata anayenipenza (Ulidhani muwa wako ndio wa pekee... eeh? Kuna wengine wenye ekari baaaah-buuuuh!) [Verse 3] Mapenzi yangu kwako uliyaisha Michezo ya sesere na Aisha Nikijaribu kutafuta maisha Vituko vya kwako nimekwisha [Bridge] Usinifuate usinirudie Hakuna chako cha zamani Samahani zako siniambie Mie hapa nina wangu hanih! [Chorus] Uliowamumunya sasa meza Ladha ya chumvi imekoleza La maisha ninasongeza Nishampata anayenipenza Uliowamumunya sasa meza Ladha ya chumvi imekoleza La maisha ninasongeza Nishampata anayenipenza (ulichelewa huko kwa bikizee, basi mwanamwali akafuata asali.... ukiona vyaeleaaah! vimeundwaaaah!) [Outro][Repeat] Ninaye wangu seremala Hodari sana kupiga randa Fundi mwenye ujuzi na ala Kwanza ezeka chako kibanda (Monkey Jams!) [Applause]

Recommended

시편 2편
시편 2편

랩, 업비트, 남자, 여자, 세련되게

Onze Verlosser
Onze Verlosser

uplifting pop anthemic

butterfly
butterfly

symphonic classical allegro, lo-fi

Echoes of Unity
Echoes of Unity

instrumental,rock,pop rock,pop,melodic,passionate,post-britpop,melancholic,bittersweet,existential,orchestral pop

Ischemic Universe
Ischemic Universe

psychedelic space rock

Peace
Peace

Progressive House, EDM, Hardcore, Melodic, Heavy Drops

Mathilde
Mathilde

smooth kids music

Angela
Angela

80s Classic Rock, Rock

일차방정식의 사랑
일차방정식의 사랑

and strings ballad slow piano

First Love Rain
First Love Rain

gritty rock ballad emotional

Вечный Герой
Вечный Герой

epic rock, heavy, industrial, hard rock, trap, back vocals

7777777
7777777

male vocals, piano, sad,slow

Wiroxe Are Coming for You
Wiroxe Are Coming for You

hardcore, hard rock, metal

私たちの愛の終わり
私たちの愛の終わり

endlesslove song, folk, female voice

relax music
relax music

relaxante

燃え盛る街 (Burning City)
燃え盛る街 (Burning City)

raw hip hop aggressive

A Symphony of Raindrops
A Symphony of Raindrops

piano rainy weather glitchcore lofi nostalgic jazz

 Complex
Complex

Raw, intense, aggressive, melancholic, distorted, heavy. Dynamic, pulsing, emotional, layered, atmospheric, dark.