BWANA_RMX
Slow R&B, Gospel, worship
April 20th, 2024suno
Lyrics
(Intro)
[Saxophone Intro],
Bop-bop-a-doo-wah,
Bad-baduh-ba-do-doo-wah X2
[Short Saxophone Interlude],
(Verse)
Bwana ni mchungaji wangu,
Kamwe sito-pungukiwa na kituu - (UhH, uHh),
Kamweee, Nasema kamwe, sito pungukiwa na kitu - (uHh-uHh),
[Short Saxophone Interlude],
Katika malisho,
Ya majani mabichi - tena mateke,
Ndiko ambako hunilaza, - (No stress),
[Short Saxophone Interlude],
Hata nipatapo KIU,
Penye maji tulivu,
Pale penye maji tulivu ndiko-huniongoza,
(OhH-Bwana ndiye),
Bwana ndiye-Mchungaji wanguuu! - (YeaH!).
[Short Saxophone Interlude],
(Chorus)
Bwana ndiye,
Mchungaji wa-angu!,
(Bwana ndiye),
Bwana ndiye,
Chakula cha-angu cha ROHO,
(Bwana ndiye),
Bwana ndiye,
Maji yangu ya Mwili,Nafsi na Roho,
(Ohh-Bwana ndiye, OhH Bwana Ndiye) X2
Bop-bop-a-doo-wah,
Bad-baduh-ba-do-doo-wah X2
[Short Saxophone Interlude],
(Verse)
Bop-bop-a-doo-wah,
Bad-baduh-ba-do-doo-wah X2
[Short Saxophone Interlude],
[Drum rolling]
Hunihuisha,
Hunihusisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake - (Jina Lake!).
Jina lake ndilo hilo naye ndiye huyo kwangu,
(Bwana ndiye) - Mchungaji wangu - Kamwe sito-pungukiwa na kituu (uHh-uHh),
Naam,
Naam, Naam,
Ni-Ni-Ni-nijapopita - (AhH-AhH),
Ninapopita kati ya
(Verse)
Bop-bop-a-doo-wah,
Bad-baduh-ba-do-doo-wah X2
[Short Saxophone Interlude],
[Drum rolling]
Hunihuisha,
Hunihusisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake - (Jina Lake!).
Jina lake ndilo hilo naye ndiye huyo kwangu,
(Bwana ndiye) - Mchungaji wangu - Kamwe sito-pungukiwa na kituu (uHh-uHh),
Naam,
Naam, Naam,
Ni-Ni-Ni-nijapopita - (AhH-AhH),
Ninapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa, Sita-Ogopa mabaya;
Kwa maana Wewe upo pamoja nami - (Pamoja nami),
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
(Ohh-),(Bwana ndiye x3)
[Short Saxophone Interlude]
[Refrain Chorus]
Naam,
Naam, Naam,
Ni-Ni-Ni-nijapopita - (AhH-AhH),
Ninapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa, Sita-Ogopa mabaya;
Kwa maana Wewe upo pamoja nami - (Pamoja nami),
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
(Ohh-),(Bwana ndiye x3)
[Short Saxophone Interlude]
[Refrain Chorus]
[Refrain Chorus]
Bwana ndiye,
Mchungaji wa-angu!,
(Bwana ndiye),
Bwana ndiye,
Chakula cha-angu cha ROHO,
(Bwana ndiye),
Bwana ndiye,
Maji yangu ya Mwili,Nafsi na Roho,
(Ohh-Bwana ndiye, OhH Bwana Ndiye) X2
Bop-bop-a-doo-wah,
Bad-baduh-ba-do-doo-wah X2
[Break]
[grand finale saxophone]
[grand finale saxophone]
Recommended
City Lights Love Affair
drums jazztronica cymbal electrosynth
Suno Change IT
Pop Song Melodie
Sunday Morning Drive
Ukulele relajante
Bed sheets
Cabaret, No serenity, opera GNU, can't sleep
Fuck Jo Ro
A minor, brazilian phonk deep 808s eerie melodies samba rhythms heavy distorted bass
Танец Дикой Ночи
beat, phonk, aggressive, upbeat, fast, trap
Cherry Rockin' Lemonade
folk rock, acoustic guitar
Todo lo podrás hacer
rebelde enérgico rock argentino
Raindrops
phonk-house, PHONK, wave, 130bpm
Corazón Ardiente
instrumental,pop,latin,dance,ballad,disco
Slumdog Hero Beats
mixer hip-hop/rap turntable
Our journey
Korean song kpop
Старые друзья
поп мелодичный акустический
Shadow of the Stars
atmospheric epic progressive rock
Clouds on Friday
groovy pop
Olafstos
Frost Metal