
Nimebalikiwa2
June 11th, 2024suno
Lyrics
Verse 01:
Katoto kameumbika siyo yule wa kwenu wa sandakalawe,
Nikiita kanaitika na huko nyuma ni fuso ya mawe,
Ukiona kamepita yaani uhakika,
Na gizani kakipita mwanga kuona uhakika.
Uwaaaaaaaaaaaaaao
Waaaaaaaaaaaaaaao
Uwaaaaaaaaaaaaaao
Waaaaaaaaaaaaaaao,
Inye nyenyenyenyenyenyenye,
Nyuma mwemwemwemwemwemwemwe,
Na usiku silali nishakuwa mlinzi kama nalinda Hela benki,
Na mambo ya kusali nakaongoza kiuhuru Wala situmii tenki.
Chorus:
Mimi kwake sijiwezi mwisho wa leli Kigoma,
Kwake Mimi ni ndezi kamoyo kananichoma,
Usiku kanatwe kanatwe kanatwe kanatwetwetwe,
Daily kanamwe kanamwe kanamwe kanamwemwemwe.
Verse 02
Kama mapenzi utahila na akili zishaliwa,
Usiku ugali kulumagila niote mbawa kama njiwa,
And I go die for her my love
This is special for her.
Mapenzi mvua Leo imenyesha kwangu,
Na kama ni jua basi Leo zamu yangu,
Inye nyenyenyenyenyenyenye,
Nyuma mwemwemwemwemwemwemwe,
Chorus:
Mimi kwake sijiwezi mwisho wa leli Kigoma,
Kwake Mimi ni ndezi kamoyo kananichoma,
Usiku kanatwe kanatwe kanatwe kanatwetwetwe,
Daily kanamwe kanamwe kanamwe kanamwemwemwe.
Recommended

DEVAM
oldschool rap

夜のメロディ
slow tempo nightcore downer lo-fi

Лето
Live music, uplifting roots reggae, energy, catchy melody, ((female vocalist)), audience singing live, high definition.

畢業的時光
sentimental pop

Vida Sofrida
acústico samba melódico

Пушкин
russian indie

Spark of Shadows
edm electronic dark

Raimund
rap, beat, trap, upbeat

Playa al Atardecer
new wave flamenco ska style, flamenco guitar, Cajón, Castanets, brass section

Something New
viral clear voice techno house

Haziran Ayı
Infectious gospel,

Green-Eyed Love
fast-paced aggressive punk rock

Is He Dead
Trap, Male Voice

Polca para la gente
Uruguayan Milonga, Acoustic guitar, bandoneon, fiddle, Piano.

meet you
woman's voice, hopeful, sad

Why Does My Back Hurt So Fucking Much?
driving electric 50's rock and roll

The Foxo is Very Tired
chill, female voice, deep