Kimbunga hidaya

EDM

May 7th, 2024suno

Lyrics

Yakedani... aaah, kubababake Kimbunga Hidaya, upepo kwa mbali, Mwajuma anakimbia, wigi likapeperushwa. Upepo unavuma, wigi linapepea, Mwajuma analia, Siri imefichuka. (Verse 1) Mwajuma kajipodoa, uso umepambwa, Wigi kaazima kwa rafiki yake, anakwenda kudanga. Mtoto wa BUza, "na kijora cha mkopo", Siri zinavuja, upepo unatamba. (Chorus) Kimbunga Hidaya, upepo kwa mbali, Mwajuma anakimbia, wigi likapeperushwa. Upepo unavuma, wigi linapepea, Mwajuma analia, Siri imefichuka. (Verse 2) Wigi linapeperuka, juu angani linaruka, Mwajuma anapigana, moyo wake unauma. Danga likashtuka, Kumbe pisi inakipara, Kimbunga kinatamba, wigi linapotea. (Chorus) Kimbunga Hidaya, upepo kwa mbali, Mwajuma anakimbia, wigi likapeperushwa. Upepo unavuma, wigi linapepea, Mwajuma analia, Siri imefichuka. (Bridge) Mwajuma anaomboleza, wigi la rafiki yake limetoweka, Wigi la Mwajuma, safari imefika mwisho. Atarudije Buza, kichwani hana nywele, Mwajuma ana kipara, Danga limemkataa. (Chorus) Kimbunga Hidaya, upepo kwa mbali, Mwajuma anakimbia, wigi likapeperushwa. Upepo unavuma, wigi linapepea, Mwajuma analia, Siri imefichuka. Mwajuma ana kipara, Danga limemkataa. (Chorus) Kimbunga Hidaya, upepo kwa mbali, Mwajuma anakimbia, wigi likapeperushwa. Upepo unavuma, wigi linapepea, Mwajuma analia, Siri imefichuka. aaah kubababakeeeeeh kimbunga hidaya aaah kubababakeeeeeeh

Recommended

Neon Dreams
Neon Dreams

Alternative kpop with 4 female singers

I can hear you
I can hear you

Experimental lo-fi post punk mathrock

Wrong Time, Right Love
Wrong Time, Right Love

liquid melodic high-energy drum and bass

Свет
Свет

witch house, post-punk, soviet post-punk

Amanda's Wisdom
Amanda's Wisdom

country fast-paced

Lost in Solitude
Lost in Solitude

Alternative Rock

Echo in Her Eyes
Echo in Her Eyes

electronic pop

Yearning for You
Yearning for You

rock anthemic

Sea-King's Omen
Sea-King's Omen

spoken word, classical leitmotif based score, orchestral, choral ensemble, brass, percussion, strings, blood pumping

Shake It Right
Shake It Right

pumpin' dance hip-hop

పలికే గోరింకా
పలికే గోరింకా

flute, violin, guitar, piano, male voice, female voice, bass, drum, rap, pop, rock, metal, drum and bass

ACEDMbass
ACEDMbass

atmospheric Cyberpunk edm bass

Bright Lights, Big Dreams
Bright Lights, Big Dreams

Soul, lounge, emotional higher pitch voice, male vocals

Escolha da Sua Vida
Escolha da Sua Vida

70s samba, acoustic guitar, new age, song about self dignity

Tortellini Dove
Tortellini Dove

edgy post-punk rhythmic

Remix of Forest Blakk's - You Were Mine
Remix of Forest Blakk's - You Were Mine

Bulgarian Rock, Galician Indie. Male Voice.