Hauniwezi Pweza wee

sweet indian female voice, swahili taarab with flair, classical taarab, groovy bass, coastal accent, taarab

July 22nd, 2024suno

Lyrics

[Hype Taarab Intro: sweet female voice speaking] (Halo - Halooooh! Ulinifanyia dharau na wale vibaraka sasa nyumba hiiiih! uione paah!) [Hype Shout Out] Monkey Jams! [Verse] Hauniwezi wee sura ya pweza Tangu nikuache sijakupeza Wafate wale waliokupoteza Maana mie nakubeza [Verse 2] Moyo wangu sio chenza Sitaki zako bembeleza Sina muda wa kupoteza Sina hali ya kucheza [Chorus] Uliowamumunya sasa meza Ladha ya chumvi imekoleza La maisha ninasongeza Nishampata anayenipenza Uliowamumunya sasa meza Ladha ya chumvi imekoleza La maisha ninasongeza Nishampata anayenipenza [Hype Taarab Intro: sweet female voice speaking] (Ulidhani muwa wako ndio wa pekee... eeh? Kuna wengine wenye ekari baaaah-buuuuh!) [Verse 3] Mapenzi yangu kwako uliyaisha Michezo ya sesere na Aisha Nikijaribu kutafuta maisha Vituko vya kwako nimekwisha [Bridge] Usinifuate usinirudie Hakuna chako cha zamani Samahani zako siniambie Mie hapa nina wangu hanih! [Chorus] Uliowamumunya sasa meza Ladha ya chumvi imekoleza La maisha ninasongeza Nishampata anayenipenza Uliowamumunya sasa meza Ladha ya chumvi imekoleza La maisha ninasongeza Nishampata anayenipenza (ulichelewa huko kwa bikizee, basi mwanamwali akafuata asali.... ukiona vyaeleaaah! vimeundwaaaah!) [Outro - Repeat] Ninaye wangu seremala Hodari sana kupiga randa Fundi mwenye ujuzi na ala Kwanza ezeka chako kibanda (Monkey Jams!) [Applause]

Recommended

지금의 내가 좋아
지금의 내가 좋아

piano, R&B, kpop, fast, romantic, uplifting, female voice, deep

EDMDJ+Guitarist
EDMDJ+Guitarist

Greek Mythology, Electropop, Heavy Bass, Techno Trance House Rave Disco Dance, Rock. Party, Upbeat, Happy, Uplifting,

Cumbia buena
Cumbia buena

Cumbia romantica, emotional

Apocalisse
Apocalisse

Canto gregoriano

Moonlit Walks
Moonlit Walks

classical, orchestral, cinematic, piano, powerful, heartfelt

Do You Remember?
Do You Remember?

Nu metal, slow build, emotional, screaming during chorus, deep voice

비 오는 날
비 오는 날

부드럽고 그루브한 감성 깊은 재즈 힙합

Morning Mingle
Morning Mingle

Create a relaxing acoustic guitar track with soft melodies for a cozy morning cafe ambiance.

La pala de maty
La pala de maty

cumbia villera

Adorable Malodorante
Adorable Malodorante

pop,blue-eyed soul,pop soul,traditional pop,easy listening

Aurora Reverie
Aurora Reverie

deep melodic techno, afterlife

Heart of Spring
Heart of Spring

"Emotive Rock Ballad" - A powerful track with a dramatic crescendo, ideal for conveying resilience.

111
111

pop rock

Surrender to Love
Surrender to Love

pop cross beats