
BWANA NDIYE
Romantic soul worship gospel, saxophone, Powerful Female Vocalist
April 20th, 2024suno
Lyrics
(Intro)
[Saxophone Intro],
Bop-bop-a-doo-wah,
Bad-baduh-ba-do-doo-wah X2
[Short Saxophone Interlude],
(Verse)
Bwana ni mchungaji wangu,
Kamwe sito-pungukiwa na kituu - (UhH, uHh),
Kamweee, Nasema kamwe, sito pungukiwa na kitu - (uHh-uHh),
[Short Saxophone Interlude],
Katika malisho,
Ya majani mabichi - tena mateke,
Ndiko ambako hunilaza, - (No stress),
[Short Saxophone Interlude],
Hata nipatapo KIU,
Penye maji tulivu,
Pale penye maji tulivu ndiko-huniongoza,
(OhH-Bwana ndiye),
Bwana ndiye-Mchungaji wanguuu! - (YeaH!).
[Short Saxophone Interlude],
(Chorus)
Bwana ndiye,
Mchungaji wa-angu!,
(Bwana ndiye),
Bwana ndiye,
Chakula cha-angu cha ROHO,
(Bwana ndiye),
Bwana ndiye,
Maji yangu ya Mwili,Nafsi na Roho,
(Ohh-Bwana ndiye, OhH Bwana Ndiye) X2
Bop-bop-a-doo-wah,
Bad-baduh-ba-do-doo-wah X2
[Short Saxophone Interlude],
Hunihuisha,
Hunihusisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake - (Jina Lake!).
Jina lake ndilo hilo naye ndiye huyo kwangu,
(Bwana ndiye) - Mchungaji wangu - Kamwe sito-pungukiwa na kituu (uHh-uHh),
Naam,
Naam, Naam,
Ni-Ni-Ni-nijapopita - (AhH-AhH),
Ninapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa, Sita-Ogopa mabaya;
Kwa maana Wewe upo pamoja nami - (Pamoja nami),
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
(Ohh-),(Bwana ndiye x3)
[Short Saxophone Interlude]
(Chorus)
Bwana ndiye,
Mchungaji wa-angu!,
(Bwana ndiye),
Bwana ndiye,
Chakula cha-angu cha ROHO,
(Bwana ndiye),
Bwana ndiye,
Maji yangu ya Mwili,Nafsi na Roho,
(Ohh-Bwana ndiye, OhH Bwana Ndiye) X2
Bop-bop-a-doo-wah,
Bad-baduh-ba-do-doo-wah X2
[Break]
[grand finale saxophone]
(verse)
Hunihuisha,
Hunihusisha nafsi yangu na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake - (Jina Lake!). YESHUA,
Jina lake ndilo hilo naye ndiye huyo kwangu, (Bwana ndiye) - Mchungaji wangu - Kamwe sito-pungukiwa na kituu (uHh-uHh),
Naam, Naam,
Ni-Ni-Ni-nijapopita - (AhH-AhH),
Na Ninapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, (AhH-AhH), Sitaogopa, Sita-Ogopa mabaya;
Kwa maana Wewe, (YAHWEH) upo pamoja nami - (Pamoja nami),
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
(Ohh-),(Bwana ndiye x3)
[Short Saxophone Interlude]
(Chorus)
Bwana ndiye,
Mchungaji wa-angu!,
(Bwana ndiye),
Bwana ndiye,
Chakula cha-angu cha ROHO,
(Bwana ndiye),
Bwana ndiye,
Maji yangu ya Mwili,Nafsi na Roho,
(Ohh-Bwana ndiye, OhH Bwana Ndiye) X2
Bop-bop-a-doo-wah X2
[Break]
[grand finale saxophone]
(Chorus)
Bwana ndiye,
Mchungaji wa-angu!,
(Bwana ndiye),
Bwana ndiye,
Chakula cha-angu cha ROHO,
(Bwana ndiye),
Bwana ndiye,
Maji yangu ya Mwili,Nafsi na Roho,
(Ohh-Bwana ndiye, OhH Bwana Ndiye) X2
Bop-bop-a-doo-wah X2
[Break]
[grand finale saxophone]
Recommended

Your Truth
disco rap, uplifting, catchy chorus chant, heavy base and drums, energetic and positive

Floating Dreams
drone ambient synth

Dev Oops
pop punk

How can I forget (Dubstep Remix)
liquid dubstep energetic dark

Free fire
Hindi

Olsun
blues
The end of my Dream
female vocalist,male vocalist,rock,electronic,melodic,passionate,energetic,heavy,atmospheric,futuristic,sentimental,melodic dubstep,choir

신나는
pop

记者老管
chinese male rock

สายลมแสงแดด
progressive, grunge

Почили
lo-fi, chill

Midnight Highway
psychedelic rock bripop reggae

Con cua nhỏ
Pop

Elkana I Miss You
ballad emotive pop

Nostalji
r&b, strings, comic, funk, jazz, big beat

goroncybitnadissanakubale
hardstyle,hard bass

Last Note
Dark ambient, piano, Eerie, effects, sinister, abnormal, claustrophobic

Rockin' Crypt Chant
mystery fast driving catchy melody male vocals guitar riffs

Di Ujung Tanduk
patah hati, mellow, pop
