MUNGU NI MWEMA

Boombap Hip Hop, DJ scratches, Female Hardcore Rapper, GFunk & Soul Fusion with heavy groove

April 25th, 2024suno

Lyrics

(Intro spoken word) God is good all the time, And all the time, God is Good, If he ain't, then you're lying, Stop lying, God is good and you know it x2 (Chorus) God is good both day and night, And all the time, He shines so bright, If you think He's not, you're not right, So embrace the truth, with all your might x2 (Verse) [Short Kick Record Scratch] Mungu ni mwema wakati wote, Na wakati wote, Mungu ni mwema, Ukisema sivyo, basi unadanganya, Acha uongo, Hujui - unazuga, unajifanya. [Short Kick Record Scratch] Mungu ni mwema usiku na mchana, Na wakati wote, anang'aa sana, Ukifikiri sivyo, basi hujui ukweli wa Bwana, Kumbatia ukweli, Uongo Achana. [Short Kick Record Scratch] Na-Na-Na - Kwa bars kumi na sita, hapa nakuandikia, Mungu ni mwema, sifa zake zinakufikia, Kila dakika, kila saa, yeye si hadimu kabisa, Upendo wake, kwetu sisi, hauna kikomo kabisa. [Short Kick Record Scratch] Katika shida na raha, yeye ni mwema, Hata giza likiwa nene, nuru yake yatema, (Mwanga). Hakuna linalomshinda, yeye ni Alfa na Omega, Tumaini letu, mwamba wetu, daima ni yeye ni Mwema. [Short Kick Record Scratch] Na-Na-Na - Kwa mashairi haya, neno lake lasonga, Tunaimba kwa furaha, tunacheza kwa nguvu na Ku-Konga, Nyoyo (Verse) [Short Kick Record Scratch] Mungu ni mwema wakati wote, Na wakati wote Mungu ni mwema, Ukisema tofauti na ninayonena - basi fahamu fika kwamba una-jidanganya, Achana na uongo na ruhusu UKWELI kukuangazia NAKUSIH, nakuonya na hata kukukanya, [Short Kick Record Scratch]. Mungu ni mwema usiku na mchana, Mungu ni Jema hili la Leo, Kesho na hata lile la Jana, Mungu ni mwema TRUST hiki ambacho NASEMA, [Short Kick Record Scratch]. Na-Na-Na - Kwa bars hizi kumi na sita nilizo kuandikia hapa na kukuletea hapa ni wakati wa kuamka sasa, Mungu ni mwema sifa zake zili-wafikia, zina-kufikia na zita-wafikia, Kila dakika, kila saa, yeye si hadimu kabisa, Upendo wake, kwetu sisi, hauna kikomo kabisa, Huu ni ukweli Kabisa, narudia tena kufikisha hata kama ukikunja ndita, Mungu ni mwema na anatishaaa!, [Short Kick Record Scratch], Katika shida na raha, (yeye ni mwema), Katika Mwanga na Giza, (Nasema - Yeye ni Mwema), [Short Kick Record Scratch] Hakuna linalo-mshinda, yeye ni Alfa na Omega, Tumaini letu, (mwanzo na mwisho), mwamba wetu (Jana, Leo na Kesho), daima ni yeye ni Mwema. [Short Kick Record Scratch] (Repeat Chorus) Hakuna linalo-mshinda, yeye ni Alfa na Omega, Tumaini letu, (mwanzo na mwisho), mwamba wetu (Jana, Leo na Kesho), daima ni yeye ni Mwema. [Short Kick Record Scratch] (Repeat Chorus) Hakuna linalo-mshinda, yeye ni Alfa na Omega, Tumaini letu, (mwanzo na mwisho), mwamba wetu (Jana, Leo na Kesho), daima ni yeye ni Mwema. God is good both day and night, And all the time, He shines so bright, If you think He's not, you're not right, So embrace the truth, with all your might x2 [Short Kick Record Scratch]

Recommended

Fire & Water
Fire & Water

Pop,K-pop,Dance-pop,Electronic Pop,EDM (Electronic Dance Music),Synth-pop,Future Bass,Hip-hop (Fire),Trap

Подлодка
Подлодка

Neue Deutsche Härte baritone vocals, german industrial metal, hard rock, EDM

marigold
marigold

rock, guitar, nostalgia

Unrecognizable
Unrecognizable

somber alternative rock shredding guitar

On the Move
On the Move

pop electronic

Echoes of Yesterday
Echoes of Yesterday

Pop Punk, Post Punk, Emo, hyperpop, Metalcore, breakdowns, singing, screaming, male singer

Vanesha
Vanesha

Punk rock metal

Flute Fury Frenzy
Flute Fury Frenzy

ska ambient deep male voice fast rap

ゆっくりおやすみ
ゆっくりおやすみ

emotional, piano, violin, chill

just do it
just do it

powerful edm

전성은의검
전성은의검

댄스,KPOP,올림픽, pop dance

Choices
Choices

traumacore, dark, piano, bass, sad, tape recording

Lumière de Christ
Lumière de Christ

pop louange exhortation